Wananchi mkoani Katavi wamevipongeza vyombo vya habari kwa kuhabarisha umma kuhusu mambo mbali mbali ya kimaendeleo katika jamii.




KATAVI

Wananchi mkoani  Katavi  wamevipongeza  vyombo vya habari kwa kuhabarisha umma kuhusu mambo mbali mbali ya kimaendeleo katika jamii.

Wameeleza kuwa  kupitia  redio  wananchi wamepata upeo wa kujua nguvu ya kusema na kukosoa ikiwemo chochea Uwazi na uwajibikaji miongoni mwa jamii na serikali.

Halikadharika  wameshauri vyombo vya habari nchini kujikita na vipindi vinavyoelimisha na vinavyojenga maadili kwani vyombo vya habari ndiyo kioo cha jamii na taifa kwa ujumla.

Maadhimisho ya redio ambayo yatafanyika mjini Dodoma na kujumuisha waandishi wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania bara na visiwani.

Kauli mbiu ni usawa wa kijinsia katika michezo na kutangaza michezo pamoja na kuhusisha amani kupitia michezo.


Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI