Wananchi katika manispaa ya Mpanda mkoani katavi wamepongeza hatua ya manispaa kununua lori jipya la kubebea takataka



MPANDA

Wananchi katika manispaa ya Mpanda mkoani katavi wamepongeza hatua ya manispaa  kununua lori jipya la kubebea takataka

Wakizungumza na mpanda Radio kwa nyakati tofauti wananchi hao wamesema kununuliwa kwa lori hilo kumekuja wakati muafaka hasa ikizingatiwa kulikuwa na uchafu uliokithiri katika maeneo mbalimbali

Aidha wameitaka manispaa kuhakikisha lori linaendelea kufanya kazi ili kuuweka mji wa mpanda safi.

Wiki iliyopita halmashauri ya manispaa ya mpanda ilitangaza ununuzi wa lori jipya la kubebea taka lenye uwezo wa kubeba tani 16 kwa zaidi ya shilingi milioni 159


Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI