Uhuru Kinyanta awataka waandishi wa habari waachanae na Kazi hiyo.
Rais Uhuru Kinyata wa Kenya amewambia wandishi wa habari wakasome.
Kauli hii inakuja ikiwa ni Siku chache tangu serikali yake kuvifungia vituo vya runinga vya KTN na NTV kwa kukaidi agizo la kutonyesha shughuri ya kiapo cha Raila Odingi aliye jiapisja kama raisi wa wananchi mwanzoni mwa juma hili.
Marekani na mouja wa Ulaya imelaani kitendo cha Serikali ya Kenya kvinyamazisha vyombo vya habari wakati vikitekeleza majukumu yake.
Wapinzani wameingia katika hofu kubwa hasa kufuatia kamata kamata inayoendelea ambapo awali serikali ya kenya iliuambia umma kuwa watu wengi watakamatwa jambo ambalo limeanza kutekelezwa kwa kumtia nguvuni mwanasiasa aliyejitangaza kuwa kinara wa NRM Miguna Miguna na kuchangia pakubwa kuapishwa kwa Raira odinga.

Comments
Post a Comment