Tanzania ya jitoa kufadhiri Wakimbizi
Serikali ya Tanzania inasema kuwa inajiondoa katika mpango wa Umoja wa mataifa wa kuwasaidia wakimbizi kuanza maisha mapya katika mataifa yanayowahifadhi.
Tanzania limekuwa eneo salama kwa wakimbizi wengi na sasa inahifadhi zaidi ya wakimbizi 250,000 wa Burundi ambao walitoroka mzozo.
Rais John Pombe Magufuli amesema kwamba Tanzania inajiondoa kutokana na tatizo la usalama pamoja na lile la kifedha .
Comments
Post a Comment