Sera ya matibabu bure kwa mama mjamzito katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imeonekana kutiliwa maanani hali ambayo husaidia kupunguza vifo vya mama wajamzito na watoto.
MPANDA
Sera ya matibabu bure kwa mama mjamzito katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imeonekana kutiliwa maanani hali ambayo husaidia kupunguza vifo vya mama wajamzito na watoto.
Wakizungumza na mpanda redio baadhi ya mama wajawazito wamesema wanaishukuru sarikali kwa kuanzisha sera hiyo kwani wanatibiwa bure bila usumbufu wowote.
Hata hivyo wameiomba serikali kuboresha huduma ili kupunguza magonjwa mbalimbali kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua.
Niwajibu wa kila mtu kumlinda mtoto na kuhakikisha anapata huduma zote muhimu ili kumjenga mtoto kimwili na kiakiri.
Comments
Post a Comment