REDIO NDIO SILAHA PEKEE YA KULETA UKOMBOZI WA FIKRA NA MAENDELEO
Leo ikiwa siku ya Redio duniani Mwandishi wetu Alinanuswe Edward amezungumza na mmoja wa Wapiganaji kutoka Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ambaye ni mstaafu kwa sasa akijihusisha na Kilimo pamoja na ufugaji,mkoa wa Katavi ulio kusini magharibi mwa Tanzania.
(Redio ilikuwa kiungo muhimu katika kututia moyo askari tulio kuwa uwanja wa vita kati yetu na Nduri Idd Amini wa Uganda, hata sasa tunaona chombo hiki kikitumika kama siraha ya pekee katika kuunganisha hoja miongoni mwa wananchi na viongozi na kuchchoea uwajibikaji) Amesema:
Kauli mbiu ni usawa wa kijinsia katika michezo na kutangaza michezo pamoja na kuhusisha amani kupitia michezo.
Maazimisho yanafanyika mjini Dodoma ambapo mgeni rasimi ni waziri wa habari sanaa na michezo Dk Harisson Mwakyembe.
Comments
Post a Comment