Muhubiri anayewapulizia doom wafuasi wake apatikana na hatia Afrika Kusini


Muhubiri moja nchini Afrika Kusini anayejiita 'nabii' anayewapulizia wafuasi wake dawa ya kuua wadudu ,doom, amepatikana na hatia ya unyanyasaji vyombo vya habari vimeripoti.

Lethebo Rabalago, maarufu 'Muhubiri wa doom' amepatikana na hatia ya kukiuka sheria ya kukabiliana na wadudu.

Rabalago anadai kwamba dawa hiyo ya wadudu aliyoitumia 2016 inaweza kutibu saratani na virusi vya ugonjwa wa ukimwi.

Lakini bado hukumu haijatolewa baada ya kutolewa kwa uamuzihuo na jaji wa mahakama ya Limpopo.


Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.