Mkuu wa wilaya ya Taganyika mkoani Katavi Salehe Mhando amewataka wananchi kuchagamkia fursa za uwekezaji katika mwambao wa ziwa Tanganyika.



TANGANYIKA
Mkuu wa wilaya ya Taganyika  mkoani Katavi Salehe Mhando
amewataka wananchi kuchagamkia fursa za uwekezaji katika
mwambao wa ziwa Tanganyika.
Kauli hiyo ameitoa wakati wa mahojiano na mpanda radio
ambapo ameitaja wilaya hiyo kuwa utajiri wa misitu ya utarii,
ikiwemo masuala ya Uvuvi.

Katika hatua nyingine ameeleza mikakati ya serikali kuwa ni
pamoja na kuimarisha miundo mbinu itakayo enda sambamba na
ukuaji wa masuala ya kibiashara kati ya wilaya hiyo na wilaya
nyingine.
Wilaya ya Tanganyika inaumri wa mwaka mmoja na nusu tangu
kuanzishwa kwake huku ikitajwa kuwa kinara wa uzalishaji wa
mazao ya chakula kwa mkoa wa Katavi.


Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI