DC Tanganyika mkoa wa Katavi Salehe Mhando aelezea kukerwa na kitendo cha kufukuza wanafunzi kwa michango yoyote
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Salehe Mhando amesema hatuvumilia kufukuzwa kwa wanafunzi kwaajili ya michango ya shuleni.
Katika Mazungumzo yaliyofanywa na Mpanda Radio Fm ambapo ameeleza kuwa kitendo hicho licha ya kupingana na agizo la serikali, lakini pia kinamuathiri mwanafunzi kisaikolojia.
Ametoa ufafanuzi kuwa michango ambayo inaendelea Katika wilaya hiyo ni ile ambayo inaendeshwa na wazazi wenyewe kama vile chakula kwa wanafunzi.
Katika hatua nyingine amewashukuru wananchi wa wilaya hiyo Kuendelea naujenzi wa vyumba vya madarasa ili kupungu za msongamano wa wanafunzi
Comments
Post a Comment