WAFANYA BIASHARA MPANDA /KATAVI WASITISHA MGOMO



Mamia ya wafanyabiasahara katika masoko ya Mpanda leo wameanza kufanya biashara kama kawaida kufuatia kuwepo kwa mgomo huo kwa muda wa siku mbili.

Wakizungumza na Mpanda radio kwa nyakati tofauti wamesema wamefanya mazungumzo na uongonzi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkowa Katavi ilikufika muafaka wa mgomo ulio sababishwa na kupandishwa kwa bei ya Pango kutoka sh 15,000 kwa hapo awali na kufikia sh 40,000.


Kwa upande wa Mwenyekiti wa Soko la Buzogwe ambalo ni kitovu cha mvutano huo Bw Ramadhani Karata  amedai amekuwa  mafichoni  kwa muda kutokana na kuandamwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za yeye kuwa chanzo.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.