Raila Odinga asema ataapishwa kuwa rais wa watu wa Kenya hata akiwa nje ya nchi.



NAIROBI:
Kiongozi wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA) Raila Odinga  amesema yupo tayari  kuapa kama rais wa wananchi hata kama atakuwa nje ya Kenya.

Odinga ameiambia Sauti ya America kwamba mpango wake pamoja na muungano wa vyama vya upinzani NASA kuiongoza Kenya hautapingwa na kusisitiza kuwa muungano huo utaendelea kutotambua serikali ya  rais Kenyatta.

Odinga ameeleza kuwa muungano huo hauingilii katiba ya Kenya kwa kupanga mipango yake na kwamba chama chake kitafanya kazi kama serikali na kuteua watumishi wake.

Jumuia za kimataifa kwa sauti moja zimekuwa zikilaani kitendo hicho kwa madai ya kuchochea uhasama baina ya serikali na wafuasi wa chama hicho.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.