NAPE AUTABILIA UPINZANI
Jumla ya watoto 1200 na wazazi walezi 506 waishio katika mazingira hatarishi wameibuliwa na kupatiwa huduma katika maeneo mablimbali ya Manispaa ya Mpanda.
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mhe. Nape amesema upinzani nchini Tanzania hautaweza hata siku moja kukiangusha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika madaraka kwa kuwa inapofika wakati wa kutafuta dola hawana urafiki na mtu.
Nape Nnauye amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombe ubunge wa jimbo la Longido siku ya jana kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambao unatarajiwa kufanyika leo.

Comments
Post a Comment