Mwenyekiti wa Taifa balaza la wanawake la Chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema Ambaepia ni mbunge wa jimbo la Kawe Halima Mdee amezitaka taasisi za ndani ya chama hicho kuwajibika vyema katika kukijenga chama hicho.

NA Paul Matius: Ebm

Akizungumza na wanawake wa chama hicho pamoja na vijana katika shule ya sekondari ya Mtakatifu Maria  manispaa ya Mpanda  amesema  Taasisi hizo kwa kushilikiana na vijana vinamchango mkubwa katika kukijenga chama hicho Hapa nchini.

Kwa upande wake mbunge wa viti maalumu wa chama hicho katika Mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela amesema kunavikundi mbalimbali vya akina ambavyo vimeanza kunufaika.

Ziara hiyo ya mwenyekiti wa Bawacha Taifa inalengo la  kukagua uhai wa jumuia hiyo na chama kwa ujumla katika mikoa ya Rukwa Tabora na  Katavi  ugeni huo umeambatana na katibu mkuu wa balaza la wanawake la chama hicho Taifa Grace Tendega.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.