Msumbiji ya tikiswa na Ugaidi


Polisi nchini Msumbiji wametaja mashambulizi yaliyotokea kwenye eneo la pwani la Mocimboa da Praia katika jimbo la Cabo Delgado, kuwa vitendo vya kigaidi, na kusema wahusika watafikishwa mbele ya sheria.

 Mwezi Oktoba mwaka jana kundi la watu wapatao 30 wenye silaha walifanya mashambulizi kwa wakati mmoja dhidi ya vituo vitatu vya polisi huko Mocimboa da Praia, na kusababisha vifo vya maofisa wawili wa polisi na kiongozi mmoja wa kijamii.


Mpaka sasa polisi wamewakamata watuhumiwa 251, lakini pia wamekiri kuwa washambuliaji halisi bado hawajakamatwa

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.