Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Michael Nzyungu,amekanusha taarifa zilizotangazwa na kituo cha Televisheni cha Azam ambacho kuwa Halmashauri haijafikia malengo ya makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

MPANDA

Bw.Nzyungu ametoa ufafanuzi huo wakati akizungumza na Vyombo vya habari Ofisini kwake.

Aidha Bw.Nzyungu pamoja na mambo mengine amevishauri vyombo vya habari kutumia waandishi wenye umahiri wa kuandika habari ili kufikisha taarifa sahihi kwa jamii.

Kwa mjibu wa MkurugenziTaarifa hizo zilichukuliwa kupitia kikao cha baraza maalumu la madiwani lililokuwa likijadili rasmu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019.

Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI