MGOMO WA WAFANYA BIASHARA MPANDA/KATAVI WAINGIA SIKU YA PILI



Mgomo wa wafanyabiashara mjini Mpanda  umeingia Siku ya pili  kwa kile kinacho daiwa kuwa ni kutokubaliana na  halmashauri ya manispaa ya Mpanda kupandisha kiwango cha bei ya pango kutoka elfu 15,000 mpaka elfu 40,000. 

 Wakizungumza na Mpanda Redio kwa nyakati tofauti wameeleza kuwa uongozi wa halmasauri hiyo haujafanya mazungumzo yoyote kabla ya kupitisha sharia hiyo. 

Madai hayo yametupiliwa mbali na mkurungenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu amabaye hapo jana amekaliliwa akisema kitendo cha mgomo huo hakikubaliki na kwamba kinashinikizo la viongozi wa  masoko.



Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.