MBOWE AMUWASHIA MOTO LOWASA

DAR ES SALAAM:

Siku moja baada ya Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowasa ambaye 2015 aligombea urais kupitia Chadema  kutoa kauli ya Kukubaliana na utendaji wa Rais Dk John Pombe  Magufuli chama hicho kimasema huo sio msimamo wake.

Hayo yamesemawa na Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na kueeleza kuwa chama hicho hakiwezi kuwa na kauli zinazo pingana na uhalisia.

Hapo Jana Waziri mkuu huyo wa zamani akiwa ikulu Jijini Dar es salaam amemwagia sifa rais John Pombe Magufuli kuwa mchapakazi akiweka bayana baadhi ya mambo kuwa ni utekelezaji wa elimu bure sanjari na uimarishaji wa miundo mbinu.

Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimekuwa mkosoaji mkuu wa serikali hasa katika kile kinachodaiwa kuwa ni kuwepo kwa mtikisiko wa demokrasia nchni.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.