Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi yatoa Onyo kali kwa Watendaji

MPANDA:

 Baraza la Madiwani Halamshauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,limesema litachukua hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafukuza kazi watumishi wa idara ya ardhi watakaosababisha migogoro ya ardhi baina ya wananchi.

Tamko hilo ambalo limetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Willium Mbogo kupitia kikao maalumu cha bajeti cha baraza hilo ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.

Aidha amesema hatua za kisheria zitachukuliwa pia kwa watumishi wa idara mbalimbali ambao wamesababisha Manispaa ya Mpanda Kukosa mapato kutokana na uzembe wao katika uwajibikaji.

 

 

Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI