Mamia ya wafanyabiasahara wadogo wadogo katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka katika kituo cha matangangazo Mpanda radio fm


Mpanda:

Mamia ya wafanyabiasahara wadogo wadogo  katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka katika kituo cha matangangazo mpanda radio fm wakipinga agizo la mkurugenzi wa Manispaa Michael Nzyugu  kuyafunga masoko yasiyo rasimi.

Wakizungumza na Mpanda radio fm mapema leo wamesema kitendo hicho hakikubaliki kwani mpaka sasa seriakali haijaandaa maeneo mbadala ya kufanyia biashara hizo.

Miongoni mwao wamesikika wakisema maeneo mengi wanayo takiwa kwenda mara baada ya kuyahama maeneo yasiyo rasimi yanakabiliwa na miundombinu dahaifu ikiwemo na mlundikano wa wajasiliamali.



Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda Michael Nzyungu  ameutangazia umma kuwa ifikapo tarehe 22 mwezi huu utakuwa mwisho wa masoko bubu maarufu kama magenge.

Source Mahojiano


Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.