Kifo cha kikatili kwa mwanafunzi mkoani Katavi cha wa gadhabisha Wananchi



TANGANYIKA:

Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Vikonge Kata ya tongwe   wilaya ya Tanganyika mkoani katavi mwenye umri wa miaka 14 amefariki dunia baada ya kubakwa kisha kubakwa.

Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi Damas Nyanda  ameeleza kuwa tukio hilo limetokea tarehe 22 majira ya saa mbili asubuhi wakati msichana huyo akiwa na mdogo wake wa kiume kuelekea shuleni.

Insert……Kamanda

Ameongeza kusema upelelezi unaendelea ilikuwabaini walio husika na kitendo hicho cha ukatili ili mkondo wa sheria uchukue nafasi yake.

Wananchi wamegadhabishwa na kitendo hicho wengi wakilitaka jeshi la polisi kuwatia nguvuni wahalifu hao mara moja.


Katika hatua nyingine kamanda huyo amekemea vikali kwa wale wote wanaomiliki silaha kinyume na sheria akiwataka kuzisalimisha jeshi la polisi.

Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI