Katika kuendana na mabadiliko ya teknolojia nchini mahakamaimeanzisha mfumo wa matumizi ya teknolojia habari na mawasiliano tehama ili kuewza kuendana na wakati pamoja na kutoa huduma kwa wanachi kwa haraka

MWANZA

Haya yamejiri wakati wa uzinduzi wa wiki ya sheria ambapo mkuu wa mkoa wa mwanza John Mongela ameipongeza mahakama kwa hatua yao ya kwenda na wakati kwa kutumia mfumo huo wa tehama

Amesema tehama inakwenda kuwa suruhisho katika kutoa huduma kwa haraka huku akileza wiki hii ya sheria itakuwa na mafanikio makubwa kwa wananchini na mkoa wa mwanza pamoja na taifa kwa ujumla

Wiki ya sheria mwaka huu ina kauli mbiu imesemayo matumizi ya tehama katika utoaji wa haki kwa wakati na kwakuzingatia madili na kilele chake itakuwa tarehe moja mwezi wa pili mwaka  huu wa 2018

SOURCE Salum yasini

Comments

Popular posts from this blog

DKT.NDUGULILE ATAWAZWA KUWA CHIFU MWANYINGA WA KABILA LA WASAFWA MKOANI MBEYA

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI