BODA BODA MKOANI KATAVI WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA VITA YA KUPINGA MIMBA ZA UTOTONI
Na Issack:
Naibu waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Dk.Faustine Ndugulile,amewataka waendesha pikipiki
Mkoani Katavi kushirikiana na serikali ili kutokomeza mimba za utotoni.
Dk.Ndugulile ametoa agizo hilo leo
wakati akitunuku vyeti kwa waendsha pikipiki 100 wa Manispaa ya Mpanda
waliohitimu mafunzo ya kidhibiti Mimba za utotoni huku akiwataka pia watendaji
wa wizara mpaka wilaya kote nchini kutatua shida zinazowakabili madereva hao.
Wakati huo huo Dk.Ndugulile amekabidhi
baiskeli tano kwa wasimamizi wa mashauri ya watoto Manispaa ya Mpanda baiskeli
ambazo zimetolewa na shirika la JSI la Marekani ili baiskeli hizo zitumike
kuwafikia watoto waishio katika mazingira hatarishi.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa waendesha pikpiki
Mkoani Katavi Mh.Asalile Mwakabafu amesema wao watapambana 
Comments
Post a Comment