Wachimbaji wadogo wadogo mkoani Katavi wameitaja kazi hiyo kuwa yenye fulsa
MPANDA. KATAVI
Vijana
mkoani Katavi wametakiwa kutumia fursa ya machimbo ya madini ya dhahabu
yaliyopo mkoani hapa katika kujiinua
kiuchumi.
Hayo
yamesemwa na baadhi ya wachimbaji wadogo wadogo wanaofanya shughuli hiyo katika
machimbo ya dhahabu yaliyopo katika
kijiji cha Dilifu Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda wakati wakizungumza na
mpanda radio machimboni hapo.
Katika
hatua nyingine wachimbaji hao wamewataka vijana kupuuza maneno ya baadhi ya
watu kuhusiana na kazi ya uchimbaji kutafisiriwa kuwa kazi yenye hatari zaidi.
Licha
ya sehemu nyingi za wachimbaji wadogo wadogo kutokuwa rasmi, uchimbaji wa
madini ni moja kati ya sekta iliyoajiri vijana wengi mkoani Katavi
Comments
Post a Comment