UWEPO WA UMEME WA UHAKIKA NI MAFANIKIO YA TANZANIA YA VIWANDA
![]() |
| Rais John Pombe Magufuli |
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amehutubia wamjumbe
wa mkutano mkuu wa33 wa Jumuia za Tawala
za mitaa ALAT.
Amewambia
wajumbe wa mkutano huo kuwa suala la kupeleka umeme vijiji kuwa ni endelevu na
kwamba katika awamu ya tatu ya mradi wa umeme vijijini REA utavihusisha vijiji
7873.
Ameitaja
adhima hiyo kuwa inaenda sambamba na utekelezaji wa ahadi ya Tanzania ya
viwanda inayoongozwa na serikali ya
awamu ya tano.
Mkutano
huo unaofanyika katika ukumbi wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere unaenda na
kauli mbiu ya Ardhi kwenye mamlaka ya Serikali za mitaa ni chachu za maendeleo.

Comments
Post a Comment