Raila Odinga atangaza kutogombea

Raila Odinga
Mgombea Urais kupitia muunganiko wa vyama vya upinzani nchini Kenya, Raila Amolo Odinga, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho, baada ya viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC, kukataa kuachia madaraka.
Taarifa hiyo ya kujiuzulu kwake imetolewa leo na yeye mwenyewe kwenye mkutano na vyombo vya habari, na kusema kwamba chama cha Jubilee ambacho Uhuru Kenyatta anagombea, kinataka kufanya uchaguzi ambao utawapelekea ushindi.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.