MZIMU WA KUJITENGA KWA CATALONIA SASA WADHIHIRIKA
Catalonia itatangaza uhuru wake kutoka Uhispania siku chache zinazokuja, kiongozi wa eneo hilo ameiambia BBC.
Katika mahojiano yake ya kwanza tangu ifanyike kura ya maoni siku ya Jumapili, Carles Puigdemont alisema kuwa serikali yake itachukua hatua mwishoni mwa wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo.
- Kwa upande wake mfalme wa Uhispania Felipe VI, amasema kuwa waandalizi wa kura hiyo walikiuka sheria.

Comments
Post a Comment