Mtoto wa Sokoine auwawa

Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Tanzania marehemu Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameauwa katika ugomvi ulitokea na mkewe hii leo.



Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Charles Mkumbo, amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea mchana huu, hivyo jeshi la polisi lipo eneo la tukio kufuatilia kwa undani kilichojiri mpaka kuuawa kwa Kereto.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.