DC TANGANYIKA ATANGAZA KIAMA KWA WANANCHI WALIO VAMIA MISITU


DC Salehe Muhando wa wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi  Salehe Muhando amesema kamati ya ulinzi na usalama itaendelea kutumia nguvu katika

zoezi la kuwaondoa wananchi katika maeneo ambayo siyo makazi.

 Ametoa kauli hiyo  kwa njia ya Simu, na kufafanua kuwa tukio la kufariki kwa mtu mmoja katika kitongoji cha Mnyamasi kata ya Tongwe wakati maafisa misitu wakitekeleza zoezi hilo kimetokana na  wananchi kuto tii sheria.

 Aidha ameongeza kusema kuwa zoezi hilo ni endelevu na kuwataka wananchi watii sheria bila shuruti.

 Mpaka sasa imeripotiwa kuwa zaidi ya watu saba wamejeruhiwa tangu kuzuka kwa vurugu hizo mnamo oct 7/2017.

Comments

Popular posts from this blog

SAKATA LA KATA YA KATUMBA HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI KUKOSA DIWANI LAIBUA MJADALA MPANA

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE ZA SERIKALI CHALI

Wanawake wa kijiji cha Kabuga kata ya Kanoge Wilayani Mpanda/Katavi wamewalaumu viongozi kwa ahadi hewa.