AJIRA KWA WATOTO WADOGO KATIKA MIGODINI
Mwandishi wa habari Alinanuswe Edward akihojiana na Mama mmoja katika eneo la machimbo ya dhahabu ya Dilifu mkoani Katavi-Tanzania(Mpiga picha wetu Haruna Juma).
Kumeshuhudiwa
athari kadha wa kadha katika
utumikishwaji wa watoto , licha ya mikakati kabambe ya serikali kukomesha suala
hili.
Vijana wa umri chini ya miaka 18 wakiwa katika eneo maalumu litumikalo kuchenjulia dhahabu kwa hatua ya pili baada ya (Mpiga picha wetu Haruna Juma) |
Hapa
ni mkoani Katavi umbali wa KM 15 kutoka Mpanda
mjini eneo linajulikana kama Dilifu Machimboni watu wazima hufanya kazi ya machimbo ya Madini aina ya dhahabu na watoto ambao
wamejiajiri katika eneo hili na wengine kuajiriwa.
Comments
Post a Comment