ANAYETEKA WATOTO ANASWA NA JESHI LA POLISI
Kijana
huyo amekamatwa usiku wa Septemba 2 ,saa mbili usiku katika nyumba ya kulala
wageni ya Shitungulu iliyopo mji mdogo wa Katoro.
Kamanda wa
polisi mkoani hapa , Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kukamatwa Kwa
kijana huyo na kusema polisi linaendelea na uchunguzi na utakapokamilika
atafikishwa mahakamani.

Comments
Post a Comment